+255 687 148 252 info@samekayasaccos.or.tz

Suluhisho la Kifedha kwa
Mwanachama

Jiunge na Samekaya SACCOS leo na ufurahie huduma za kifedha ikiwemo kuweka Hisa, Akiba, Amana na Mikopo yenye riba nafuu.

Pata Maelezo Zaidi

Iweke Kesho Yako Salama
Pamoja Nasi

Elimu, Mafunzo na huduma zetu za kifedha zitakusaidia kujenga mustakabali wa kifedha ulio salama kwa ajili yako.

Bidhaa zetu

Kipaumbele chetu ni huduma bora
kwa Mwanachama

Pata tofauti ya Taasisi ya fedha inayomilikiwa na wanachama, ambako mafanikio yako ndiyo kipaumbele chetu.

Jiunge Sasa

Bidhaa zetu

Tunatoa wigo mpana wa bidhaa za kifedha zilizoundwa kumsaidia Mwanachama kufikia malengo yake.

Uwekezaji wa Hisa

Wekeza Hisa na Samekaya SACCOS kukupa umiliki halali wa Uanachama wako.

Pata Maelezo Zaidi

Akiba na Amana

Weka Akiba na Amana mara kwa mara kujenga ustawi wako wa kifedha na Chama.

Pata Maelezo Zaidi

Mikopo

Samekaya SACCOS tunatoa mikopo yenye riba na masharti nafuu kwa Wanachama.

Pata Maelezo Zaidi
Samekaya SACCOS Team

Samekaya SACCOS

Samekaya SACCOS ni chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Kijamii chenye fungamano la Wanachama wafanyabiashara, wajasiliamali, waajiliwa waliopo jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Sifa za kuwa Mwanachama ni pamoja na:

  • Awe Mtanzania na mwenye umri wa miaka 18 au zaidi na mwenye umri chini ya 18 anaruhusiwa lakini hata kuwa na haki zote za Uanachama kama vile kushiriki Mikutano Mikuu
  • Awe tayari kukubali Masharti, Kanuni, Sera na Miongozo ya Samekaya SACCOS katika kushiriki shughuli zote zinazohusu Chama.
  • Awe tayari kujaza fomu ya kujiunga na kulipia kiingilio cha fedha za kitanzania 50,000/=, kuweka hisa za kuanzia nne (4) za TZS 20,000/=
Soma zaidi
0
Wanachama
0
Bidhaa zetu
0
Miaka ya Huduma
0
Kuridhika kwa Wanachama